Saturday

Dansi ya Maasai katika Tanzania


Leo, niliona video kuhusu dansi katika Tanzania. Nilitafuta na kuona video mingi kwa Maasai wacheza ngoma. Katika Afrika, watu kwa kawaida wanaona dansi ya maasai kuitwa dansi ya urukaji. Dansi hiki ni wanafanya kwa wanaume katika kijiji. Wao watamba hewani na kujiona afia na hima kama asikari. Kila ghulamu atachupa kama juu kama yeye kuweza maadam vingine wanasimika katika mviringo na kuimba. Wimbaji kufaa kubwa zaidi kama urukaji kufaa juu sana. Katika lugha ya Maasai, dansi hii kuitwa "adumu." Ninataka kugawa kwa ninyi:

No comments:

Post a Comment