Saturday

Malaria katika Afrika ya Mashariki


Kabla ya mimi naenda Tanzania, nilikuwa na meza tembe kwa malaria. Kwa Hivyo, nilitaka kufahamu malaria na kuchunguza data kuhusu malaria katika Afrika ya Mashariki.

Kushoto: Ramani ya malaria katika Afrika





Afrika ya Mashariki kuwa na jumla kubwa ya Malaria kwa sababu mbu Anopheles inaishi yako na mbu ni mchukuzi ya Malaria.

Asili: Mbu ambao wanauma watu na inahamisha malaria kupitia damu

Dalili: homa, vipapa, kuumwa na kichwa, kijasho chembamba, kigagazi, kutapika, uchovu, na mauma ya ungo.

Kuchaga: Habari za 60% ya malaria kesi ya duniani kote na juu ya 80% ya kifo ya malaria yaduniani kote kutokea katika Afirka ya Mashariki

Mazuio: Kupaka mafute ya kuwafukuza mbu, meza malaria anti-dawa, kupuliza dawa ya mbu, Chandarua ili mbu.

Dawa: Daktari kupendekeza ni Metakelfin, Fansider, na Comaquin

Dawa ya tangu zamani: Mwarubaini ni dawa ya tangu zamani katika Afrika ya Mashariki
Je, unataka kusaida kuponya Malaria? Atazuru tovuti hii na kuhariji leo!!




























No comments:

Post a Comment