Saturday

Gharama ya Usafirisha ya Hadhira Katika Tanzania na Mji ya Portland

Kabla ya nitasafiri Tanzania, nilitaka kulinganisha gharama ya usafirisha katika nchi ya tanzania na mji ya Portland. Chini ya, nilichunguza gharama yote ya usafirisha. Ninatumaini kazi wangu kusaida nyini.

Tanzania
Miguu -- Sabili
Dala Dala -- Centi .15-.20
Gari -- $2.39/galoni

Baisikeli -- Sabili
Taxi -- Kutegemea usafari

Taxi $2.30/maili


Kupendeka sana katika Tanzania: Matatu

Mji ya Portland
Miguu -- Sabili
Basi -- $4.75/day
Gari -- $2/galoni
Maxi/streetcar -- $4.75/day
Baisikeli -- Sabili
Taxi -- $2.30/maili

Kupendeka sana katika Mji ya Portland: Maxi na Baisikeli

Ninaishi mji ya Portland na kutegemea kwa miguu, maxi/streetcar, na gari. Inategemea ninaenda wapi.
Ingawa, mimi naenda Tanzania, sikujua nini kutegemea.


















No comments:

Post a Comment