Saturday
Kupumzika
Katika Afrika ya Mashariki, watu wengi wanapenda kwenda pwani kupumzika. Katika mji ya Portland, mimi ninapenda kupumzika pia. Ninapenda kuona sinema, kusoma vitabu, kufuma kashida na kucheza michezo. Mchezo yangu kipenzi ni karata. Katika karata ninaweza kucheza poker, hearts, au rummy. Pia ninataka michezo ya bao. Mara kwa mara, mimi na marafiki yangu kuwa na usiku ya mchezo. Sisi tunachezo michezo minne na kunywa pombe. Mimi ninapenda kuona mchezo wa baseball. Kuona katika televishi na kuona kaka yangu anacheza baseball.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment