Saturday

Mchezo ya Soka


Kwa watu wengi katika Afrika ya Mashariki, neno ‘football’ ni synonym kwa soka. Katika Afrika ya Mashariki, aaafrika hawacheza football kama incheza katika Amerika. Katika Afrika ya Mashariki football kama inasifika soka. Waswahili wanatia neno kandanda au soka kwa football pia. Katika Afrika ya Mashariki, wanawake hawacheza soka. Soka ni riadha kwa maboi na wanaume na watu mengi wanaona mechi ya soka katika miji sana. Wasichana na wanawake wanacheza netibol lakini soka ni riadha adimu baina ya wasichana na wanawake.

Katika cinema ya Leopards of Zanzibar, wanamume walienda kucheza kandana sana. Wao walicheza katika timu ya Leopards of Zanzibar. Timu kuwa nzuri sana na walishinda metchi mingi. Kwa hivyo, timu walitaka kwenda mashindano katika Tanzani. Lakini, wao hawalipa gharama ya kusafarikwa chombo ya Dao.

            Kwa kawaida, wanamume walivua kwa pweza mkubwa lakini sasa, wao wanavua kwa kamba. Wanavua kwa kamba kwa sababu hoteli wingi wanalipa pesa sana kwa kamba. Hatimaye, timu ya Leopards of Zanzibar kwenda Dar es Salaam kwa mashindano. Katika Tanzania, timu kushindwa katika mechi lakini kwenda nyumba kwa kiburi. Katika Zanazibar, watu wote wanapenda timu na kushangalia kwa wanamume.

No comments:

Post a Comment