Saturday

Sherehe


Katika Marekani watu kuwa na sherehe kwa nafasi wingi. Penye sherehe ya ukumbusho wa siku ya uzazi, ukumbusho wa kila mwaka, likizo lote, na majambo ya pekee. Wakati wa sherehe hizi jamii kwa kawaida kuwa na karamu na chakula, pombe, muziki, dansi, na kuzungumza nzuri. Ninapenda sherehe kwa sababu nitawaona marafiki na jamii wakati  nitakula mkate mtamu, pombe na chakula nzuri. Kwa Jamii, nitawachezo carata na dominos. 

No comments:

Post a Comment