Wageni wengi wanaokuja Tanzania wanapenda kutembelea mbuga za wanyama. Tanzania imebarikiwa kwa wanyama wa kila aina. Kuna mbuga kubwa tatu ambazo Tanzania imehifadhi wanyama mwitu. Mbuga hizi ni Mikumi, Manyara na Serengeti. Katika video, niliona wanyama mingi. Kuwa na fisi, pundamilla, simba, pongo, tai, chui, kima, tembo, na swala. Mbuga za wanyama Manyara ziko katika jimbo la Arusha, kaskazini Tanzania. Viongozi hawa wanawaongoza watalii katika mbuga hizi na kuwaonyesha wanyama mbalimbali. Ninataka kwenda mbuga za Manyara na kuona wanyama wingi na Serengeti!
No comments:
Post a Comment