Saturday
Kusafari ya Afrika
Mchezo ya Soka
Kwa watu wengi katika Afrika ya Mashariki, neno ‘football’ ni synonym kwa soka. Katika Afrika ya Mashariki, aaafrika hawacheza football kama incheza katika Amerika. Katika Afrika ya Mashariki football kama inasifika soka. Waswahili wanatia neno kandanda au soka kwa football pia. Katika Afrika ya Mashariki, wanawake hawacheza soka. Soka ni riadha kwa maboi na wanaume na watu mengi wanaona mechi ya soka katika miji sana. Wasichana na wanawake wanacheza netibol lakini soka ni riadha adimu baina ya wasichana na wanawake.
Katika cinema ya Leopards of Zanzibar, wanamume walienda kucheza kandana sana. Wao walicheza katika timu ya Leopards of Zanzibar. Timu kuwa nzuri sana na walishinda metchi mingi. Kwa hivyo, timu walitaka kwenda mashindano katika Tanzani. Lakini, wao hawalipa gharama ya kusafarikwa chombo ya Dao.
Kwa kawaida, wanamume walivua kwa pweza mkubwa lakini sasa, wao wanavua kwa kamba. Wanavua kwa kamba kwa sababu hoteli wingi wanalipa pesa sana kwa kamba. Hatimaye, timu ya Leopards of Zanzibar kwenda Dar es Salaam kwa mashindano. Katika Tanzania, timu kushindwa katika mechi lakini kwenda nyumba kwa kiburi. Katika Zanazibar, watu wote wanapenda timu na kushangalia kwa wanamume.
Kupumzika
Katika Afrika ya Mashariki, watu wengi wanapenda kwenda pwani kupumzika. Katika mji ya Portland, mimi ninapenda kupumzika pia. Ninapenda kuona sinema, kusoma vitabu, kufuma kashida na kucheza michezo. Mchezo yangu kipenzi ni karata. Katika karata ninaweza kucheza poker, hearts, au rummy. Pia ninataka michezo ya bao. Mara kwa mara, mimi na marafiki yangu kuwa na usiku ya mchezo. Sisi tunachezo michezo minne na kunywa pombe. Mimi ninapenda kuona mchezo wa baseball. Kuona katika televishi na kuona kaka yangu anacheza baseball.
Sherehe
Katika Marekani watu kuwa na sherehe kwa nafasi wingi. Penye sherehe ya ukumbusho wa siku ya uzazi, ukumbusho wa kila mwaka, likizo lote, na majambo ya pekee. Wakati wa sherehe hizi jamii kwa kawaida kuwa na karamu na chakula, pombe, muziki, dansi, na kuzungumza nzuri. Ninapenda sherehe kwa sababu nitawaona marafiki na jamii wakati nitakula mkate mtamu, pombe na chakula nzuri. Kwa Jamii, nitawachezo carata na dominos.
Mbuga za Manyara na Wanyama
Wageni wengi wanaokuja Tanzania wanapenda kutembelea mbuga za wanyama. Tanzania imebarikiwa kwa wanyama wa kila aina. Kuna mbuga kubwa tatu ambazo Tanzania imehifadhi wanyama mwitu. Mbuga hizi ni Mikumi, Manyara na Serengeti. Katika video, niliona wanyama mingi. Kuwa na fisi, pundamilla, simba, pongo, tai, chui, kima, tembo, na swala. Mbuga za wanyama Manyara ziko katika jimbo la Arusha, kaskazini Tanzania. Viongozi hawa wanawaongoza watalii katika mbuga hizi na kuwaonyesha wanyama mbalimbali. Ninataka kwenda mbuga za Manyara na kuona wanyama wingi na Serengeti!
Sunday
Saturday
Dansi ya Maasai katika Tanzania
Malaria katika Afrika ya Mashariki
Dalili: homa, vipapa, kuumwa na kichwa, kijasho chembamba, kigagazi, kutapika, uchovu, na mauma ya ungo.
Mazuio: Kupaka mafute ya kuwafukuza mbu, meza malaria anti-dawa, kupuliza dawa ya mbu, Chandarua ili mbu.
Dawa: Daktari kupendekeza ni Metakelfin, Fansider, na Comaquin
Dawa ya tangu zamani: Mwarubaini ni dawa ya tangu zamani katika Afrika ya Mashariki
- http://www.malaria.org/
- http://www.surfaidinternational.org/site/pp.asp?c=ekLPK4MOIsG&b=275154
- http://www.malarianomore.org/tools.php
- http://www.fightingmalaria.gov/about/donors.html
Gharama ya Usafirisha ya Hadhira Katika Tanzania na Mji ya Portland
Tanzania
Miguu -- Sabili
Dala Dala -- Centi .15-.20
Gari -- $2.39/galoni
Baisikeli -- Sabili
Taxi -- Kutegemea usafari
Taxi $2.30/maili
Kupendeka sana katika Tanzania: Matatu
Mji ya Portland
Miguu -- Sabili
Basi -- $4.75/day
Gari -- $2/galoni
Maxi/streetcar -- $4.75/day
Baisikeli -- Sabili
Taxi -- $2.30/maili
Kupendeka sana katika Mji ya Portland: Maxi na Baisikeli
Ninaishi mji ya Portland na kutegemea kwa miguu, maxi/streetcar, na gari. Inategemea ninaenda wapi.
Ingawa, mimi naenda Tanzania, sikujua nini kutegemea.